Mimi hua nalipa na float ya kadame fulani kako na M-pesa hapo mtaa. Nakaambia kaniekee, nalipa, nakopa, nawithdraw, kwisha. Everyone is happy.
Niko na around 150k ya hizi apps so moja ikinimess nitakua mbaya saidi.
Alafu naskia wajinga wa ofisi wakidai wanataka total lockdown. Fuck them.