Hii story ya ati toyota sio stable,mara sijui body blahblah.The fact is kuna mtu anabuy shock 1500 na mwingine 15000 coz barabara zetu ni zile zile.Tembea indaa uone zile ma vw ,bmws zinarot kwa roadside.Na ni newer models.Ati computer iko njiani,engines,sensors etc.However am talking as a...