Search results

  1. J

    TESTIMONIAL SITE OPPORTUNITY.

    The “Wingu la Mashahidi “ Website (or simply Cloud of Witnesses) is a site for all Christians living in the East African region without any religious affiliation it intended to spread the Word of God to all people. Along with the many studies published there(In both English and Swahili...
  2. J

    Naomba unisaidie hii 2 wathesalonike 2:7 “Yuko azuiaye sasa Hadi atakapoondolewa, naomba unisaidie huu mstari unamaanisha Nani huyo anayezuia na Ni kw

    JIBU: Ukianzia kusoma tokea mistari ya juu kidogo utaona inazungumzia habari za mpinga-Kristo ambaye biblia inamtaja kama “Asi” kwamba mwisho wa dunia hautafika kwanza kabla ya yeye kufunuliwa hapa duniani.. Kwasababu wakati ule, watu wa kipindi kile walidhani kuwa pengine wapo tayari katika...
  3. J

    HUYU SI YULE SEREMALA, MWANA WA MARIAMU?

    Shalom. Kulikuwa na sababu kwanini Yusufu awe seremala, vilevile kulikuwa na sababu pia kwanini Bwana wetu Yesu Kristo naye pia awe seremala, na sio kazi nyingine, kabla ya yeye kuanza huduma. Tunayasoma hayo katika.. Soma tena.. Unaona Yesu na baba yake wote walijulikana sana mpaka kupata...
  4. J

    TAFUTA KUWA NA AMANI NA WATU WOTE.

    Amen
  5. J

    WAKATI WA BWANA KUKUVUSHA, NI LAZIMA ARUHUSU JESHI LA ADUI KUNYANYUKA.

    Bwana Yesu asifiwe..karibu tujifunze Biblia. Leo tutajifunza kwa kifupi mojawapo ya njia Mungu anazotumia kutuharakisha kwenda kwenye mafanikio yetu. Kitu kimoja kinachotuzuia wengi wetu kusonga mbele ni HOFU…Chochote kile mtu afanyacho katika Maisha, endapo akiondoa hofu asilimia 100, basi ni...
  6. J

    NA NENO LA BWANA LILIKUWA ADIMU SIKU ZILE.

    Kuna wakati Israeli ilikuwa inapitia majira tofauti tofauti, Si kila wakati Mungu alikuwa anazungumza nao, ana kwa ana au kwa kupitia manabii au waamuzi, hapana Kuna wakati Mungu alikuwa hasemi chochote kabisa kwa kipindi fulani, Lakini hiyo haikumaanisha kuwa Mungu amewaacha au hafuatilii...
  7. J

    TAFUTA KUWA NA AMANI NA WATU WOTE.

    Ni agizo la Mungu kwamba tuwe na amani na watu wote..Ukijiona una shari na mtu au watu basi kuna tatizo mahali…Sio kila jambo ni la kupambana nalo, na njia ya kupambana na moto ni kuuzima na si kujitosa ndani ya moto. Hivyo tunapoudhiwa si wakati wa sisi kulipiza kisasi, ni wakati wa kuyazima...
  8. J

    Let nobody plays with your eternal destination..

    the Lord had promised in the endtimes he will release the STRONG DELUSION among the people so that they'd naturally believed the Lie.. the bible had stated clearly the reason for him to do that...Its because, they believed not the truth, but had pleasure in unrighteousness..(Thessalonians...
  9. J

    Will you gonna make it?

    Yes it can also be 2hours from now..So to be in safe side, BE PREPARED! to avoid being caught up in the trap as thief in the night..
  10. J

    USO WAKE ULIKUWA UMEHARIBIWA SANA ZAIDI YA MTU YE YOTE.

    Wokovu huu ambao tumeupata bure, tusidhani yule aliyetugawia hakuingia gharama yoyote kuupata,..Halikuwa ni jambo la kukaa mbinguni tu na kusema niamnini mimi mtaokoka!..Hilo lisingewezekana kamwe, ili kuunda kitu kinachoitwa “wokovu” ilimpasa afuate kanuni Fulani..ilimpasa kwanza aache enzi na...
  11. J

    Will you gonna make it?

    remember i didnt set dates..I said he is "SOON" Coming,..that's what also Jesus said, so get prepared dont take scriptures out of context..
  12. J

    Will you gonna make it?

    Friends.. Jesus is soon coming, we are living at the edge of time..One of these days the RAPTURE will certainly strike, and all faithful saints will meet the Lord in the sky..The question to ask yourself, will you gonna make it?...is your life reflecting salvation? Think twice and make decision.
  13. J

    UTASIMAMA PEKE YAKO SIKU ILE.

    Because light always shines in the darkness..
  14. J

    UTASIMAMA PEKE YAKO SIKU ILE.

    Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe..karibu tujifunze mambo ya msingi katika safari ya haya maisha ya hapa duniani..biblia inasema dunia inapita, pamoja na tamaa zake zote, (1Yohana 2:17). Na siku ya hukumu siku moja itafika na kila mmoja atatoa habari zake mwenyewe…(Warumi 14:12). Wengi...
  15. J

    KAMA MMOJA TU NDIO HIVI! SI ZAIDI 153?

    Jina la Bwana wetu Yesu yeye atupendae upeo libarikiwe daima. Nakukaribisha katika kuyatafakari maandiko kama vile tulivyopewa maagizo kwenye biblia kwamba tunapaswa tumjue yeye sana mpaka tufikia kimo cha cheo cha utimilifu wake, ili tusiwe watoto wachanga wa kuchukuliwa na kila aina ya upepo...
  16. J

    Kuna hukumu za aina ngapi?

    JIBU: Kulingana na biblia zinaonekana Hukumu kuu Nne za Mungu mwenyezi zitakazokuja mbeleni.. HUKUMU YA KWANZA:..Ni hukumu ya watakatifu watakaonyakuliwa kwenda mbinguni, hukumu hii siyo ya kulaumiwa wala ya adhabu, bali ni ya thawabu, kila mtakatifu atalipwa kulingana na taabu na Uaminifu wake...
  17. J

    DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

    Shalom! Blessed be the name of our Lord Jesus Christ. When God wants to move his child from one level to another, he is like pushing him backwards so as to take him up to another level … Nature also teaches us, so that the Arrow to move more farther, it must be pulled back from the bow as hard...
  18. J

    VITA VYA IMANI NI VITA ENDELEVU.

    Maadamu tunaishi hapa duniani, kila siku tupo mapambanoni….Unapomwamini Yesu Kristo tu na kuamua kumfuata kwa moyo wote, kwa kitendo hicho tu tayari umeshatangaza vita na ufalme wa giza..Na vita hivyo huna budi kuvikabili mpaka siku unaondoka hapa duniani. Hakuna siku hivi vita vya imani...
  19. J

    NA UPEPO WA KUSI ULIPOANZA KUVUMA KIDOGO, WAKIDHANI YA KUWA WAMEPATA WALIYOAZIMU.

    Shalom jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Si kila dalili nzuri inayoonekana mbele yetu, itatuletea mwisho mwema, Kama hatutakaa chini kutaka kutafuta mashauri ya Mungu, tuwe na uhakika kuwa kuna uwezekano mkubwa sana wa kupotea..Kama vile biblia inavyotuambia katika… Tukiiangalia mfano...
  20. J

    Kwanini Mungu anasema kwenye biblia anawafanya malaika zake kuwa pepo?

    SWALI: Waebrania 1:7 “Na kwa habari za malaika asema, Afanyaye malaika zake kuwa pepo, Na watumishi wake kuwa miali ya moto”..Je Mungu anawageuza malaika zake kuwa mapepo? JIBU: Ndio! Wale malaika walioasi mbinguni waligeuka na kuwa mapepo baada ya kutupwa duniani, ndio haya yanayowasumbua...
Back
Top