Search results

  1. J

    JIFUNZE KUTOA KATIKA HAZINA YAKO VITU VIPYA NA VYA KALE.

    Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze maandiko.. Swali: unaweza kujiuliza kwanini Bwana Yesu aliufananisha ufalme wa mbinguni na mtu mwenye nyumba ambaye anatoa katika hazina yake vitu vipya na vya kale.. Siku zote mtu mwenye busara, katika nyumba yake (hususani katika...
  2. J

    NJIA YA KUPATA WOKOVU.

    Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, Ni neema tumeiona tena siku ya leo, hivyo nakukaribisha katika kuyatafakari Maneno ya uzima wa roho zetu. Leo tutajifunza jinsi wokovu unavyopatikana.. Tunapozungumzia wokovu maana yake ni tunazungumzia Uponyaji wa Roho zetu. Upo uponyaji wa mwili na...
  3. J

    NYAYO TUNAZOPASWA KUZIFUATA.

    Shalom, Jina la Bwana Yesu libarikiwe, karibu tuyatafakari maandiko pamoja.. Ukifika mahali umepotea, na huoni mtu hata mmoja mbele yako wa kukupa msaada, lakini unapotazama chini, unaona nyayo za miguu zinaelekea upande fulani..bila shaka hatua inayofuata ni kuzifuata hizo nyayo, kwasababu...
  4. J

    JE YESU AMEJIAMINISHA KWAKO?

    Shalom. Ni wakati mwingine tena Bwana ametupa neema ya kuyatafakari maneno yake, hivyo nakukaribisha katika kuyatafakari pamoja. Lipo jambo tunapaswa tujue kuwa tukisema tu tumemwamini Yesu, kisa tu tumeona anaponya watu, au anafufua watu, au anabariki watu, au amekubariki hata na wewe, hicho...
  5. J

    KWANINI KRISTO AFE?

    Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Swali la msingi: Kwanini Kristo afe, si angekuja tu kuhubiri na kufundisha njia ya wokovu na kisha apae zake kurudi juu alipotoka, kulikuwa na sababu gani ya kufa?. Leo tutajifunza sababu chache za kifo cha Bwana Yesu. Kwa kuchunguza vitu vya asili...
  6. J

    MAVUNO NI MENGI

    Jina la Bwana Yesu libarikiwe. Karibu tujikumbushe baadhi ya mambo muhimu katika safari ya Imani. Tukiwa kama wakristo ni wajibu wetu kuifanya kazi ya Mungu, kulingana na karama tulizopewa. Faida ya kuifanya kazi ya Mungu ni kubwa kuliko kutoifanya kabisa. Kwa jinsi tunavyozidi kuukaribia ule...
  7. J

    MZAZI, JALI MAISHA YA KIROHO YA MTOTO WAKO.

    Kuna pepo moja lililowasumbua sana mitume wa Yesu, hilo halikuwa sawa na pepo mengine waliyokutana nayo, walihangaika nalo mchana kutwa lakini hawakufua dafu mpaka alipokuja Bwana Yesu mwenyewe kulikemea na kulitoa. Lakini leo hatutazungumzia juu ya pepo hilo kwasababu habari yenyewe tunaijua...
  8. J

    USIIGEUZE NYUMBA YA MUNGU KUWA PANGO LA WANYANG’ANYI.

    Jina la Bwana wetu Yesu libarikiwe, Kama umeamka salama ni jambo la kumshukuru Mungu sana, hivyo nakukaribisha katika kuyatafakari maneno ya Uzima ya Bwana wetu, ambayo ndio chakula cha roho zetu. Neno la Mungu linasema.. Tusome tena… Umewahi kujiuliza kwanini, kwanini Bwana alitumia huo...
  9. J

    Kwanini Kuhani wa Mungu Eli alikufa kwa kuvunjika shingo, Na sio kwa njia nyingine yoyote salama?

    Habari ya Eli ni funzo tosha kwa kanisa la Kristo leo hii. Mungu aliruhusu afe kifo cha aina hiyo, ili kutimiza mstari huu wa biblia; Kama tunavyoijua habari ya Eli,alikuwa kuhani wa Mungu kwa muda wa miaka 40, na katika ukuhani wake, alifanya kazi hiyo pamoja na wanawe wawili, lakini watoto...
  10. J

    CHUKI ULIZO NAZO KWA MAADUI ZAKO, SIZO ALIZONAZO MUNGU JUU YAO.

    Shalom, Karibu tujifunze biblia, ambayo ni Neno la Mungu. Ni vizuri kumjua Mungu ili tuwe na Amani.. Biblia inasema hivyo katika.. Maana yake ni kwamba tukiyajua mapenzi ya Mungu na tabia za Mungu basi tutakuwa na AMANI, Na ndivyo mema yatakavyotujia. Leo kwa neema za Bwana hebu tujifunze...
  11. J

    MIJI YA MAKIMBILIO.

    Wana wa Israeli walipoingia katika nchi ya Ahadi, Na kuigawanya ile nchi, Makabila yote yalipewa Urithi wa ardhi isipokuwa kabila la Lawi, Wao waliganywa katikati ya makabila mengine yote 11 yaliyosalia.. Kati ya makabila hayo ilitengwa miji 48, sehemu tofauti tofauti kwa ajili ya Wana hawa wa...
  12. J

    HEKIMA YA KIMUNGU, INAINGIAJE MIOYONI MWETU?

    Shalom!. Karibu tuyatafakari pamoja maandiko. Elimu yoyote ile ya kidunia ni hekima..hekima sio tu kujua Nahau, na misemo na methali. Mtu anayekwenda kusoma elimu fulani labda ya uchumi au udaktari, anaingiza hekima ndani yake ya namna ya kumtibu mtu au namna ya kufanya biashara. Kadhalika na...
  13. J

    Wibari ni nani? Na kwanini wanatajwa kama moja wa viumbe wanne wenye akili nyingi?(Mithali 30:26)

    Wibari ni wanyama wadogo wanaokaribia kufanana na sungura, kwa jina lingine wanajulikana kama pimbi, au kwanga, au perere, tazama kwenye picha. Wanyama hawa utawaona wakitajwa kwenye vifungu hivi katika biblia; Lakini ni kwanini wametajwa kama moja ya viumbe vinne vyenye akili nyingi...
  14. J

    USIKATE TAMAA UNAPOPITIA MAGONJWA.

    Unaweza kuwa umempokea Yesu, na unapitia ugonjwa ambao ni mbaya sana, na pengine usio na tiba, Na unajiuliza inawezekanikaje mimi mtu wa Mungu niwe na ugonjwa kama huu?, au mwanangu? Na mimi namcha Mungu sana na kujitahidi kwenda katika njia zake?. Ukishafikia hali kama hiyo usianze...
  15. J

    ONDOKA YESU, TUACHIE MAPEPO.

    Shalom karibu tuyatafakari maandiko, leo tutaangazia kile kisa cha Yesu na yule mtu aliyekuwa na mapepo kule makaburini. Pengine ulishawahi kuisoma hii habari mara nyingi, lakini naomba tuisome tena kwa mara nyingine, kwasababu Neno la Mungu halina mwisho wa kujifunza (Zab 12:6). Hivyo usomapo...
  16. J

    WATAMTAZAMA YEYE AMBAYE WALIMCHOMA; NAO WATAMWOMBOLEZEA.

    Shalom. Biblia inatuambia kipindi kifupi sana kabla ya kurudi kwa Kristo, na kile kipindi chenyewe cha kurudi kwake, kutakuwa na makundi mawili ya watu ambao watakuwa wakimwombolezea, Kundi la kwanza ni Waisraeli, biblia inatuambia hivyo katika Zekaria 12. Tusome, Na kundi la Pili litakuwa...
  17. J

    YAFUATAYO NI MAWAZO YA ADUI HIVYO USIYASIKILIZE.

    column yangu ndio hii, and i felt very happy to meet one like you..kwasababu nilichokuhubiria has thrusted well deep into your soul that's why you are finding the way to avoid me,
  18. J

    YAFUATAYO NI MAWAZO YA ADUI HIVYO USIYASIKILIZE.

    Adui yetu shetani, usiku na mchana anatafuta kutumeza, kama biblia inavyosema katika..1Petro 5:8 “ Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzungukazunguka, AKITAFUTA MTU AMMEZE”. Hivyo anazo njia nyingi za kummeza mtu, na kila siku anabuni njia...
  19. J

    YESU ANA KIU NA WEWE.

    Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tuyatafakari maandiko pamoja. Kama tunavyojua hakuna wokovu kwa mwingine yoyote, isipokuwa kwa Bwana wetu Yesu, haijalishi dunia itasema nini, haijalishi imani nyingine zote zitasema nini lakini ukweli upo pale pale, Kristo alikufa, akafufuka...
  20. J

    BASI, JIANGALIENI MIOYO YENU ISIJE IKALEMEWA NA ULAFI, NA ULEVI.

    Shalom, Jina kuu la mwokozi wetu Yesu libarikiwe daima. Wengi tunayafahamu maneno hayo ya Bwana, lakini hatujui ni ulevi na ulafi wa namna gani unaozungumziwa katika Habari hiyo mpaka siku hiyo iwajilie ghafla, kama mtego unasavyo.. Ili kupata picha embu tutazame mfano mmoja halisi kabisa wa...
Back
Top