Search results

  1. J

    KWANINI NDOA NYINGI ZINAVUNJIKA? (Sehemu ya 1: Upande wa wanaume)

    Katika siku hizi za mwisho, migogoro ya kindoa imekuwa ni mingi sana, kiasi kwamba ndoa kudumu hata mwaka mmoja, ni jambo la kushukuru sana. Kila kukicha mikwaruzano, hakuna amani, kila mmoja amemchoka mwenzake. Mpaka wengine kudhani huyo mwenzi aliyemuoa au aliyeolewa naye halikuwa chaguo...
  2. J

    Jehanamu ni nini?

    Jehanamu au Jehanum ni Neno lenye chimbuko la kiyunani Gehenna, ambalo limetafsiriwa kutoka katika lugha ya kiyahudi ge-hinnom Ikiwa na maana bonde la mwana wa Hinomu.. Hili ni eneo lililokuwa kusini mwa mji wa Yerusalemu, lililojulikana kama Tofethi ambao watu wasiokuwa wanamcha Bwana...
  3. J

    JIPE MOYO MKUU

    Ukimtafakari yule mwanamke ambaye alitokwa na damu kwa muda wa miaka 12, na kwenda kushika pindo la vazi lake, unaweza kudhani aligundua jambo la maana sana machoni pake, au machoni pa watu waliomfuata Yesu, Jibu ni la!, Kwa namna ya kawaida kuacha kutafuta Uso wa Yesu, unakimbilia nguo, tena...
  4. J

    NUNUA MAJI YA UZIMA.

    Maji ya uzima, tunayoyasoma katika biblia sio maji ya chemchemi, wala ya bombani, wala kisimani, wala ya mto Yordani ulioko kule Israeli na wala sio maji ya upako, yanayouzwa leo huku na huko. Maji ya uzima ni jambo lingine la kiroho ambalo leo ningependa tuliangalie kidogo. Katika kitabu cha...
  5. J

    NINI TUNAJIFUNZA KWA THEOFILO MTUKUFU?

    Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia neno la Mungu wetu, ambalo ni taa iongozayo miguu yetu na Mwanga wa njia yetu. Leo tutajifunza juu ya mtu mmoja aliyeitwa Theofilo, ambaye biblia haijaeleza habari zake kwa urefu lakini amehusika pakubwa sana katika kuieneza...
  6. J

    UTAYAFIKIAJE MANENO SAFI YA MUNGU?

    Watu wengi wanasoma biblia lakini si wote wanayafikia maneno SAFI YA MUNGU. Jambo ambalo watu wengi hatujui ni kuwa tunadhani, tunapoisoma biblia kwa mara moja, tayari tumeshayafikia “maneno safi ya Mungu”, yale yenye uwezo wa kubadilisha Maisha yetu katika ubora wote. Ni vizuri ukafahamu hii...
  7. J

    MWAKA WA BWANA ULIOKUBALIWA

    Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, Leo ni siku nyingine Bwana ametupa neema mimi na wewe kuiona, hivyo ni wajibu wetu kiutimia vizuri siku yetu kwa kujifunza maneno yake ambayo ndio nuru yetu na uzima wetu hapa duniani kila siku. Leo kwa neema za Bwana tutajifunza juu ya huu mwaka wa...
  8. J

    AKIJUA YA KUWA ANA WAKATI MCHACHE TU”.

    Ufunuo 12:12 “Kwa hiyo shangilieni, enyi mbingu, nanyi mkaao humo. Ole wa nchi na bahari! Kwa maana yule Ibilisi ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi, akijua ya kuwa ana wakati mchache tu”. Shalom, katika mistari hiyo biblia inatuonyesha kuwa shetani naye anayo kalenda ya muda kichwani pake...
  9. J

    MADHARA YA KUTAFUTA ISHARA.

    Ni kweli kitendo cha Kufa na kufufuka kwa Bwana Yesu kilikuwa kimeshatabiriwa hata kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu, kwamba Yesu atakufa kwa ajali ya dhambi za ulimwengu wote na kufufuka, Lakini pia tujiulize kwanini kufufuka kwake kulikawia kidogo, mpaka zikafika siku tatu, au kwanini...
  10. J

    EPUKA KUPELELEZA KILA KITU MUNGU ANACHOKUAHIDIA

    Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, nakukaribisha katika kuyatafakari maneno ya uzima ya Mungu wetu, Karibu sana. Jambo ambalo tunapaswa tuwe makini nalo, ni kuchunguza chunguza au kupeleleza peleleza ahadi ambazo Mungu anatuahidia katika maisha yetu. Sio kwamba kupeleleza ni kubaya...
  11. J

    MUNGU HAONI SHIDA KUMUHAKIKISHIA MWOVU ULINZI.

    Baada ya Kaini kumuua ndugu yake, na Mungu, kumlaani kwa laana ile ya kwamba atakuwa mtoro na mtu asiye na kikao duniani, utaona alimwomba Bwana ampunguzie adhabu yake, na baada ya kupunguziwa kwa kutiwa alama, haikuishia hapo, bado Mungu alimuhakikishia usalama mwingine wa juu Zaidi. Tusome...
  12. J

    Ni kwa namna gani Bwana amekuja kuwafanya wanaoona wawe vipofu?

    Jibu: Ukisoma habari za Bwana Yesu utaona kuwa alikubaliwa na watu wanyonge na wenye dhambi lakini alikataliwa na watu wa Imani na wa dini (yaani Makuhani, waandishi, mafarisayo pamoja na masadukayo)..ambao wao walikuwa wanajiona wenye haki.. Sasa ili tuelewe vizuri hebu tujifunze katika mfano...
  13. J

    KIFAHAMU KIGEZO CHA KUSAMEHEWA NA MUNGU.

    Amen ubarikiwe ndugu
  14. J

    IEPUKE GHADHABU YA MUNGU.

    Tofauti na inavyoaminika na wengi kuwa hasira ya Mungu au ghadhabu ya Mungu, inakuja au inachochewa sana na watu waliomwacha Mungu, wa ulimwengu huu, yaani watu ambao hawajamwamini Mwokozi Yesu. Hiyo ni kweli kabisa, lakini nataka nikuambia kuwa hiyo haichangii pakubwa kuimwaga ghadhabu ya...
  15. J

    NI LIPI KATI YA MAKUNDI HAYA, WEWE UPO?

    Atakunyakua kama umemkiri yeye na kuyatunza maagizo yake...na kumkiri ni pamoja na kutubu dhambi zako zote kwa kumaanisha kuziacha kisha kubatizwa...ndipo unakuwa umempokea
  16. J

    KIFAHAMU KIGEZO CHA KUSAMEHEWA NA MUNGU.

    Shalom nakusalimu katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo. Leo nataka tujifunze jambo la muhimu sana ambalo Bwana anataka tufahamu tunapokwenda mbele zake hususani katika kumwomba msamaha au rehema..hili ni jambo la muhimu sana..naomba usome hadi mwisho. Kwa kawaida hakuna mtu asiyemkosea...
  17. J

    NI LIPI KATI YA MAKUNDI HAYA, WEWE UPO?

    Ikiwa Bwana Yesu atarudi leo, atakutana na makundi matatu ya watu wanaomsubiria yeye. Kundi la kwanza ni kundi la HENOKO, kundi la pili ni kundi la NUHU, Na kundi la tatu ni kundi la LUTU. Sasa ni vizuri ukafahamu wewe upo katika kundi lipi, kuanzia sasa, kabla ya wakati huo kufika. Kwasababu...
  18. J

    ANAKUJA KAMA “MWIVI” NA SI KAMA “ASKARI” FANYIKA CHOMBO CHA THAMANI.

    Nami sijasoma ila naomba nikuulize swali, ukiwa leo utakwenda wapi?
  19. J

    TABIA ZITAKAZOMTAMBULISHA MPINGA-KRISTO AJAYE.

    Nakusalimu katika jina la Mkuu ya uzima, Mfalme wa wafalme, Bwana wetu Yesu Kristo. Sifa heshima na utukufu vina yeye milele na milele Amina. Karibu tujifunze biblia. Leo tutatazama viashiria vikuu vitakavyomtambulisha huyo mpinga—kristo ambaye anatarajiwa kuja duniani. Kipindi cha hivi...
  20. J

    ANAKUJA KAMA “MWIVI” NA SI KAMA “ASKARI” FANYIKA CHOMBO CHA THAMANI.

    Kikawaida tumezoea kujifunza mambo mema kutoka kwa maaskari, kwamfano pindi tunapoyaona majeshi ya polisi katika magwaride yao, jinsi yalivyo na utaratibu mzuri, huwa tunavutiwa nayo.. tunapoyaona yakiwa katika mafunzo ya kukamata wahalifu, tunavutiwa nayo.. na hata wakati mwingine kuitamani...
Back
Top