Wadau kuna jalopy imeleta umangaa, steering pump inaleak nimepitia hapo Shamas nikaambiwa iko lakini Ex-Japan. Nataka seal of approval nione ka nitasource iyo part hapo Shamas ka kuna Auto shop ingine that u can vouch for yenye wanauza genuine staff(kuna yenye nilichukua hpo Kirinyaga Rd lkn...