Search results

  1. Jug

    Tough Times Ahead Wadau

    Na hawa ndio watu mnataka kuachia Serkal next year, Wakenya tulirogwa aki ya nani. Mafuta ikipandishwa Man from Sugoi alikuwa amenyamaza na bado anaendelea kunyamaza hakumbuki Hustlers wake, wacha campaign iresume wakimbie wakisema venye hao ni "Hustlers"
  2. Jug

    Tough Times Ahead Wadau

    @Othello Munyes anasema taxes and levies ndio zinafanya mafuta inaenda kupanda, kumaanisha hata bei inanguke aje bado mtanunua na iyo 120+. Hapa mko peke yenyu,
  3. Jug

    A4 Printing Papers

    Hakuna mtu ako na ii makaratasi in Bulk. @Afro ako mitini ama mnipe directions mahali zinaweza patikana ii Kanairo tutembe uko. https://kenyanlist.net/index.php?threads/otungu-inuke.16530/
  4. Jug

    Nimekuja Senate Kuuliza Swali

    Iyo estimate iko sawa. Give or take
  5. Jug

    Nimekuja Senate Kuuliza Swali

    Approvals za Kite hadi Kajiado, 3 Bedroom eka 100k approvals pekee. Hapo unaeza niona kando ukitaka approvals
  6. Jug

    Naomba mnielimishe...

    Ni all over. OP akitafuta pole pole atapata kitu safi
  7. Jug

    Nimekuja Senate Kuuliza Swali

    Kajiado levies ni expe. for approval eka 500k+. Unaeza jipeleka kwa planning office ama unipe iyo kazi time utakuwa unataka approvals.
  8. Jug

    Nimekuja Senate Kuuliza Swali

    Hapo kwa paper work, Unajenga County gani?
  9. Jug

    Buying a "Championship"

    Brooklyn Nets are signing any star available, all chips have been thrown into one basket. Hapa itabidii waende all the way otherwise Team itasambaratishwa next year. @Okiya na @mzeiya going by the star power in Brooklyn hawa ndio favourites wa kubeba Championship. Latest toy to the Brooklyn...
  10. Jug

    Otungu Inuke

    Gwacha ni ngoje yeye. Wire kwa kichwa ilikuwa imekula short circuit lakini sai nimekumbuka ukitaja yeye kwa ile thread ya @admin akiulisia mashati.
  11. Jug

    Otungu Inuke

    Wajamaa iko mtu anasource for A4 Printing Papers in Bulk ka 1,000 pieces hapa Kanairo. Kaukonazo ama unajua mtu anaeza zisupply in bulk holla me niwaunganishe muonge kesho. TIA
  12. Jug

    Kenya Vs Egypt

    Nachungulia game naona akina Pharao wametiakitu ndani
  13. Jug

    Mbio za Sakafuni

    Ruto: I can still work with Raila ahead of 2022 elections We have our plans, if he believes in us, we will agree and work together In Summary • Ruto said if Raila agrees with his manifesto and his belief that poverty should be fought from the bottom to the top, they could work together. • His...
  14. Jug

    Hehehe

    Tunachukua register kama ulipitia ii ✋
  15. Jug

    Illmatic

    Jamaa yetu for the last couple of weeks anapata recognition years later after releasing the piece
  16. Jug

    Double Standards(World)

    Si akina @Elgin walishikwa juzi juu ya liking them when young
  17. Jug

    Double Standards(World)

    Double standards za ii dunia ni astonishing. Just as we pointed out Yesterday with @Internet roles zingekuwa reversed sai wanaume wote tungekuwa labelled as "Dogs". #pedophile sai ingekuwa inatrend mbaya sana hadi ndume ingekuwa sentenced kwa Court of Sosho media. Wacha niachie hapo niko na...
  18. Jug

    The women that men are fighting for

    Weeee, nimekwamia hapo kwa "it's not fair but you can kill a felow man". Ndume ingesema ii maneno in reverse sai kungekuwa na Cold war brewing kwa sochio media.
  19. Jug

    Greetings. I am back. Long thread.

    Wacha niache ii hapa
  20. Jug

    Shock Absorber

    Leta tu ya zote atajua venye atajipanga. Expound hapa
Back
Top