One time pale Deira ka weekend hivi nmeboeka mtaani, ka whatsapp kakaingia. Kuchek ni Akinyi anadai nimtembelee, hapo nkajua lazima moshi ionekane.
Mimi na kiherehere yangu nkapitia pale pizza inn na kukwachu ile pizza large (Akinyi's favourite) na mzinga ya pepsi na kudandia taxi. Kufika kwake...