@Pamba 1, umeona hio comment ya masee anaitwa Basongol something, about an ops in Isiolo where officers were not paid, mi nilikua kwa hio mix but tulikua tunaenda ops zingine Kitengela, Kajiado n its environs, tukireleaseiwa after ops tuluambiwa pesa imetolewa but tutatumiwa kwa station zetu by...