Quiver wamefungua hapo Kangundo road, and I can say it's a curse in disguise for drivers using that route. Ile jam unapata, all the way to Doni and all yhe feeder roads, ni mbaya kuruka. Hopefully Zakayo hataona vile kunajaa aanze kutax sisi kwa watu wa vitongoji duni za Eastlando