Mimi once upon a time nilipelekea madame wengine baby carrier huko Kahawa majioni ya saa moja kaa imenyesha cats and dogs na nilikua tu na ka t-shirt. Waliikagua wakasema sio ile color waliitisha.
Ati "nilikuitisha ile yenye ulikua umeweka ya red sio hii hot pink. Rudi tu nayo ulete ya red. Ama...