So the so called men of God have opted to threats to get more sheep? Mimi husemanga ivi, kama Mungu ukweli alitaka mapastor wawe na nguvu waliyo nayo, then hangetupea akili sisi. Instead tungeendanga kwa pastor watupee mawaidha. But God saw it fit akapea kila mtu akili aitumie ndo wasimsumbue...