Mimi first day after wazazi washaenda nmevaa tuslippers mpya nkaenda Hall kuwatch tv,kuingia tu hivi nliskia mono,kuja hapa...
Maswali ka za akina @Pamba 1 alaf nkaambiwa sema 'mbrrrrrr'...
After that nlipewa slipper imedungwa na mti,alaf majamaa za form four zkanishika shati hapa nyuma,ati...