Hakuna kitu kama ordinary pilipili. Kuna aina mingi Sana. Leta sample au be specific. Chilli afadhali uuze ikiwa wet, yaani kama bado haijakauka. It takes 3.5kg of wet chilli to make a kg of acceptable dey chilli, ulipiga hesabu hapo the price is the same. The hustle sometimes is not worth it...