Muziki unaenziwa na wengi na mara nyingi utawapata watu wakijipumbaza na kujiburudhisha na miziki mbalimbali. Lakini mkulima mmoja mtaa wa Kimumu mjini Eldoret amekuwa akitumia muziki huu kuwachezea ng'ombe wake kama njia ya kuwatuliza na kuwafanya watoe maziwa kwa wingi. John Wanyama...