kuna time nilikuwa natoanga half miliioni & above nikiwa project ya construction kila end week.
nilikuwa naenda na nduthi random ina gonja hapo nje, nikimaliza kutoa nampigisha raundi mwenda nashuka, nashukua nduthi ingine hapo tu ina nipigisha raundi ina niweka outskirt ya tao alafu sasa...