Eti food, hii kitu siwezi jaribu hata kuguza.
Wacha niwapee hekaya...
About 2005 nilikuwa works Kisumu we had saved with a few friends tukaenda Mombasa kuoga na maji ya chumvi na kupatia mwili pole. Tukiwa tumebakisha a few hours to board, jaMaa akakuja with a great idea eti for our last day...