Earlier this year kuna tech guru flani alikua ananisaidia kuinstall OS mpya remotely,the dude juzi ananitumia pics zangu za 2015 bana nikachoka...kumbe the guy accessed my gmail account...luckily passwords ziko kwa gmail ingine...
Guys are blaming Sakaja na alikua mlevi...nani akiwa mlevi hakuangi mjinga?? ata guka akilewa zile whitecap zake si huja apa na screenshots za singo mathas na wasichana wa pub kufantasize nazo badala ya kuwapeleka kwake...muache ujinga tafasali...
The problem with this world is not a shortage of smart people. It is that the fools are confident with themselves while the smart people are fool of doubt. The masses tend to follow a confident fool.
Headteachers na Principals wameshacheza na accounts kwa ofisi a bursar wanamalizia projects zao za farming na kuongeza rentals in their respective village centres...itabidi wazazi wangoje...