hii jina jetfighter nilikuwa natumia nikiwa 5 years and naive kumbe bado inatumika ?
wewe @The.Black.Templar vile umezeeka with technology/internet huwezi ita jet na jina yake kama F-16, MiG 21 unatumia word mtoi wa 5 years 1920 alikuwa anatumia, wachanga aibu ndogo . but this further...