Wait. Karma, in these circumstances is corona, no?
So... you are saying there is corona, and at the same time saying there is no corona? I am confused here.
Ngoja sasa uone. Atakimbia kukata rufaa, kisha kuwasilisha ombi la dharura katuka mahakama kuu. Mahakama kuu impe dhamana chapchap na kumwachilia-huru hadi wakati rufaa itakapo kamilika.
Ngoja tu.
Kuna kitu inaitwa pussy-pass. With that, a woman can do anything and she can do no wrong.
Mwanaume ajaribu kutupatupa hutwo tuteke hapo. Zile marisasi atakula, there will be no viewing of the body before the funeral.