Search results

  1. Makavelli

    Champions League last 16

    UEFA waliseti watu. Some teams are more fitter than others, hapa Barca watakipata
  2. Makavelli

    @Deep Sea Cum Kidogo

    Ii ndio ilikuwa last resort rizla na karatasi ya unga ikiisha...hehe the legendary 50 Bob Note if you know you know
  3. Makavelli

    Charcoal

    Kwa barabara usipokuwa chonjo utanyolewa
  4. Makavelli

    Charcoal

    Ebu rushia mimi mtu anawesa nipa na iyo mbei ya sote mbili
  5. Makavelli

    Charcoal

    Katika pilka pilka zangu zakutanga tanga, @Ngimanene na Muchere leo nimeamua kujoin the brave battalion nimefika Sultan. Ii baridi hapana leta bidii nafikiria kununua gunia ya maka bei napatiwa ni 1800/= is it worth it ama nichukue ya Nyarofi...
  6. Makavelli

    NBA Streaming Links

    Spurs
  7. Makavelli

    NBA Streaming Links

    Mtu anisaidie na Streaming links za NBA @Okiya
  8. Makavelli

    FA CUP FINAL 2019/2020

    Unasahau @JazzMan wapi, naona pia yeye ameingia mitini
  9. Makavelli

    Bank Repossed Cars

    Yep since mali hukuwa partly yako na Bank
  10. Makavelli

    Bank Repossed Cars

    Ii ni ka ilika kwa yard wanaume wakaamua kupita na some parts zikauzwa ka spare
  11. Makavelli

    Bank Repossed Cars

    Bank Repo cars ni moto ya kuotea mbali
  12. Makavelli

    Mukamo! Curfew extended for 30 days.

    Apo kwa pombe yeye ka mtumiaji number 1 ametuangusha angefunga bar lakini pombe iuzwe ka kawaida.
  13. Makavelli

    Teren Teren: Reggae grinding to a halt.

    Hapo sawa wacha watwangane wenyewe kwa wenyewe...wembe ni ule ule
  14. Makavelli

    Fsr

    @Mongrel pitia uku
  15. Makavelli

    It's Masharia. Again...

    Phase 1 ya kupaka rangi ilikunywa maji
  16. Makavelli

    At Long Last!

    Game inaanza in 5 min. II ya 10:45 unatoa wapi?
  17. Makavelli

    Football Chat - Champions Edition

    The Owners are Italians
  18. Makavelli

    Football Chat - Champions Edition

    Firing Season Imeanza upesi, Watford have fired their Coach Nigel Pearson
  19. Makavelli

    Football Chat - Champions Edition

    TT hapana taka macheso leo 3-0 first half
  20. Makavelli

    Vindu Vichenjanga?

    I was just pointing out the fact that Moses Kuria said that the President has not done any significant development project in Central
Back
Top