Recent content by Jug

  1. Jug

    Autopilot Ministries

    https://x.com/moneyacademyKE/status/1823596303160361104?t=C1Tqr2Rzdx482HmpPw_P4A&s=19 Ndungu anapayuka nikama hakuwa CS kwa Serkal ya Lies...kwani vitu ni mbaya namna gani ukiwa ndani uwezi implement ideas zako na ukikanyaga nje akili inakuwa timamu same case to Kuria saa ii anatoa advice after...
  2. Jug

    Watu Wa Currencies, Kujeni Mnifunze One Or Two Things

    https://x.com/RadarHits/status/1820836287470845999?t=5lEk_T_FgodbWWIpPvD45Q&s=19 mchezo ni wa taon
  3. Jug

    Moses Kuria Countdown

    Kuria shida yake ni kuleak vitu way ahead beforethey are implemented from Portland demolitions, fuel price increase, increase in ID replacement price...shida ni venye anatangaza with a dont care attitude sasa angonga kila mtu left,right and centre
  4. Jug

    Blackout fallout

    REREC iko tembea yard ya ma transformers pale SGR uone akina nani ndio wanasmamia iyo yard hata Ile training school ya KPLC saa ii imebadilishwa jina nani kama management si ya KPLC
  5. Jug

    Blackout fallout

    Watu mnalaumu KPLC kindly check the energy sector heirachy Generation - IPPs Transmission - KENTRACO Transformers - REREC Distribution - KPLC Sasa hapa nani ndio anaeza story ya blackout...KPLC are only in charge of Substations na Stima kukufikia kama customer...hehe wacha wa liberalise energy...
  6. Jug

    Blackout fallout

    KPLC ndio scapegoat, power producers ndio walicause blackout
  7. Jug

    Finance biĺl:send your views

    Baba akae kando ii ijilete yenyewe
  8. Jug

    Business offer admin can't resist

    5 wewe run kijiji yako venye unadai sample of 5 itatusaidia aje...
  9. Jug

    Business offer admin can't resist

    Mimi I support the motion without any addition/subtraction
  10. Jug

    Bei Yake

    Apparently the locally assembled one is not upto standards, shortcut zimepigwa ka zote naona wewe ni mzee wa Bus World
  11. Jug

    They will tell you doing business is expensive

    Haha hii ujinga ndio pia ilinifanya accessories zote za laptop na nunua online kitu majuu haijafika 50bob ukingia kwa duka hapa vumbistan unaitishwa 3000kes iyo profit margin ni wazimu na ju ya iyo story sijui nianze kufanya import nikiuza na izi bei ovyo
  12. Jug

    Hatupangwingi Battalion

    izi ni after effects za China Square?
  13. Jug

    Rongai kamenuka

    Bana hapo sawa 10 years after Devolution with nothing to write home...County Govt has not done anything of significance in its biggest Sub Counties only collecting levies, that Road should be tarmacked so as to connect Kitengela with Rongai. Same with the guys that stay in Noonkopir the dust...
  14. Jug

    nyayo stadium

    sasa kila mtu anadai anaombea mvua na weather man ashasema mvua inakuja...ile kubebwa ujinga yenye wafuasi wanabebwa si kidogo
  15. Jug

    Y63

    The era of the small engine is finally upon us....Next Generation Nissan Patrol Y63 will allegedly come with a twin turbo V6 engine https://www.carsales.com.au/editorial/details/spy-pics-2024-nissan-patrol-139624/
Back
Top