Mwalimu-G
Elder Lister
Sasa iko afueni kidogo baadà ya sheria mpya ya kupambana na mihadarati kupunguza kifungo ukipatikana na hiyo kitu. Kifungo ni chini ya miaka 5 sasa au faini ya 100000 au kifungo na faini. Mbeleni ilikuwa miaka 10 kwenda juu.
Walanguzi nao wajihami kupambana na kifungo kirefu cha miaka 50 gerezani au faini ya millioni 50.
Waraibu tafuteni pesa juu hiyo kitu itapanda bei vi-serious.
Walanguzi nao wajihami kupambana na kifungo kirefu cha miaka 50 gerezani au faini ya millioni 50.
Waraibu tafuteni pesa juu hiyo kitu itapanda bei vi-serious.