Tukumbukeni

The.Black.Templar

Elder Lister
Staff member
Mnakumbuka this time last year people were being arrested and taken to prison for having corona?

Mnakumbuka there was a period when people were being killed in the name of preventing corona...even the number of those killed had surpassed the corona numbers

Mnakumbuka hapo ndio walianza kukula 2billion kila siku na hadi wa leo urezzo anadai hajui nani hukula 2billion kila siku

Mnakumbuka ungekuwa mjanjez upige malap pale kemsa ungeakukia deal ya 5billion

Mnakumbuka ile story ya Brenda wakitudanganya live live

Mnakumbuka walikuwa wanakunywa chai ya 4million lakini Mutahi anajam mkenya akikula chungwa moja na chai moja
 
Ngimanene na Muchere

Mnakumbuka nikikemewa for being brave while @bigDog was hiding under the bed? Nilizunguka hii Nairobi yote kuwaonyesha it's safe to mingle.

Mnakumbuka mkiambiwa huku nje wanakula minofu minono mkidanganywa kama watoto mkae mmejificha nyumbani? Do you remember?
 
Top