TOTO SI TOTO

Fantasy Kid

New Lister
Kaschana sio mrembo wa sura tu. Huko nyuma amebeba zinga. Ukimwona macho yatakutoka pima. Kwa Nini?
Kula mbuzi anzia kwenye kamba. Uso wake humeremeta kama aliyemwagiwa mafuta. Sio bure kila mja hutamani kumwona.
Huwapandisha wanaume mizuka kwa sauti yake nyororo ivutiayo kila aisikiaye. Ila maneno yamtokayo huzamisha day. Kila neno alisemalo ni matusi.
Ukitaka mke basi usiendee aliye shabikiwa na wengi.. mwendee shabiki. Shukran
 

Attachments

Top