Mutaro wa sewagi
wd40 at work at its best
Wanasemanga ng'ombe hukufa na nyasi.mdomoni. Sijui kwa nini mtu akianguka na kifikifi anakwamilianga throttle.
It's called whiskey throttle.
Poor sod revved hadi ndani ya mtaro.
At some point he had regained control but sijui aliamua aje.Wanasemanga ng'ombe hujufa na nyasi.mdomoni. Sijui kwa mini mtu akianguka na kifikifi anakwamilianga throttle.
Hiyo methali hai-apply hapo.Wanasemanga ng'ombe hukufa na nyasi.mdomoni. Sijui kwa nini mtu akianguka na kifikifi anakwamilianga throttle.
If there was video evidence @Introvert na wenzake wangesema it's the black car that hit him...na waichome.