Cheza chini bromwanaume anapiga magoti na huyo mrembo amebaki standing.
Anaeza kuwa na new born kwa nyumba ndio anataftia.. Aki kumbuka hio anaona wacha aibe tu but yeye aishi mtoto asitesekemwanaume anapiga magoti na huyo mrembo amebaki standing.
Si mcheki juu mwoga. Mtu mwoga hapigangwi marisasi za mgongo au kifua. Lakini inakaa funnyAnaeza kuwa na new born kwa nyumba ndio anataftia.. Aki kumbuka hio anaona wacha aibe tu but yeye aishi mtoto asiteseke
Lakini huyu kijana ni mjanja. Ametupa wallet/simu chini kisniper.mwanaume anapiga magoti na huyo mrembo amebaki standing.
Haujaona kwa counter kuna jambazi anapoint gun?mwanaume anapiga magoti na huyo mrembo amebaki standing.
After watching many videos za active self protection pale youtube nitasema the guy did the right thing. Being a guy he is a threat to the robbers and you never know what they are on. Kuinua mikono na kupiga magoti zimemsave better uchekwe lakini uishimwanaume anapiga magoti na huyo mrembo amebaki standing.