Field Marshal
Elder Lister
@Tiritiiondo na wengineo, huku eneo la Mlima Kenya tumeingia msimu wa kuwafanya vijana kuwa wanaume. Hii ni kwa sababu hatukufanya hivo mwezi wa Disemba juu walirudi shule baada ya kupoteza muda kwa sababu ya janga la Corona.
Tunawaalika wewe na wenzio mfike kwetu Ndeiya kuonja makali ya upanga, na kwa huo uchungu kuingia kwa kiama ya wanaume kamili.
Tunawahakikishia kuwa mtatunzwa na kulishwa vilivyo, na la muhimu ni eti mtaruhusiwa kuitwa waume shupavu na wavulimivu.
Asanteni.