The Pier That Carried the whole of Nairobi

bigDog

Elder Lister
USIU mboys use to show up na gari za wazazi banae. And they had cash to buy brown bottles. We use to drink a drink called akalala in pango. Or some River road bar. Then stroll into the club with 100 Kwa mfuko. Hio ni pombe mbili, chips mwitu za asubuhi na fare kurudi shule. Na umebeba dem bado.
You are a legend chief😂. Yaani pesa ya boom(5,380?) inashindana na pesa ya jamaa wa Buru? @mzeiya, unaonaje hapa?

Only legends know about 5,380!
 
It's Me Scumbag

Elder Lister
Na hii kiherehere ya mwanaume bado ulikua unataka ku-impress boxer na hiyo 5380 yako. Na boxer pia amepata 5380 yake! Boi child anakuwaga na a loose bolt kwa kichwa 😬
Hapa ulikuwa unajipanga before hand. Chief anakuwa ashawekwa box akasign papers that you cannot afford fees. Bursary pap. Na hivo ndivo unatoka league ya 5380.
 
Giggz

Elder Lister
Most CBD bars and clubs not doing well at all. Am yet to enter a bar and find it completely full. Perhaps except for club64 at kimathi street. But westy and ngong road seem to have afew clubs doing well on specific days. Covid messed with people's disposable incomes.
And people learnt takeaways and exclusive joints. Pia pamba ni sumbua nowadays esp Covid times.
 
It's Me Scumbag

Elder Lister
USIU mboys use to show up na gari za wazazi banae. And they had cash to buy brown bottles. We use to drink a drink called akalala in pango. Or some River road bar. Then stroll into the club with 100 Kwa mfuko. Hio ni pombe mbili, chips mwitu za asubuhi na fare kurudi shule. Na umebeba dem bado.
My 100 bob could buy phombe for three guys and each got 3 beers. Tusker was 9.75. Guinness was 18 bob. And quarter Smirnoff was I think 130 or there abouts...
 
Top