TBT: God has taketh his hand edition

Duke of Busia

Elder Lister
Ndutu,
kwa kina @Abba na @Duke of Busia anaitwo inyende, eng'ende ama nyende
Kwa lugha ya kiswahili anaitwa funza na kingereza ni jigger. Wao kabla wavamie mtu au wanyama wao huishi sanasana kwa vumbi.
Kweli kwa hakika kama huyu mdudu hajawai weka makao yake kwa mwili wako hujui shida ni nini. Hawa wadudu nmesema ni wapumbav kwa sababu hua wa nangoja umelala baasi wanaamka kukufanyia madharau bila chuki watekenye usiku kucha hadi chee.
Kwa wale waliowai vamiwa na hawa wadudu walikuvamia ukiwa wapi
View attachment 26236
En'nyende zinaeza fanya ukae kama mtu wa leprosy. Ziko Sana Sana kwa watu wanafuga pigs
 
Top