TBT End yr swara edition

Meria

Elder Lister
Staff member
Huu mwaka wa 2020 haujakua mzuri. Uchumi mbaya, pesa hamna vifo vingi vya korona mara ajali mara uhalifu gasia mingi zishafanyanyika lakini hayo yoote ni mapito tu cha muhimu maana tuzidi kumwamini Mungu atujalie fanaka Tele. Mimi nawatakia kila la heri tuombe Mola mwaka kesho uwe mwaka mzuri tusianze kusema ati oooh hata afadhali 2020 hapana cha muhimu tuzidi kumwamini Mungu atuondolee hii balaa na tuzidi kusonga mbele. Nawatakia Mwaka mpya wa baraka sufufu wenye mafanikio na furaha na mjue kuna kafyu usifungue mwaka na viboko au kulala jela. Fungua mwaka ukiwa nyumbani kwa raha zako shukran
134447243_242850560587695_4408897910006690333_n.jpg

jitayarisheni for vaccine
 
Meria

Elder Lister
Staff member
The first Africans to be appointed District Commissioners with effect from monday February 5 1962 : They are from left to right : Mr Juxton L.M Shako; Mr Isaac Okwirry; Mr Geoffrey K Kariithi; Mr Ezekiel Otieno Josiah (Father to lady Justice Joyce Aluoch).
They were followed 11 months later by John Njoroge Michuki who was appointed DC Nyeri on 21st Dec 1962.
134979563_208033780912912_372485850852968943_n.jpg
 
Meria

Elder Lister
Staff member
Prince Alemayehu ,an African boy buried among the royals in England.
_________________________________________________
He was the son of Emperor Tewodros II of Ethiopia who committed suicide after being defeated by the British in 1868.
After his father's death his mother tried to escape with him to Britain,unfortunately she also died along the way leaving prince Alemayehu a total orphan at the age of 7.
So the young and now orphaned prince was put on board a Royal Naval ship and sent to Britain along with other artefacts stolen from Ethiopia.
In England he lived under the care of queen victoria ,but still he was never happy with the life in England .His continual pleas to be returned to his homeland Ethiopia were always ignored.
Prince Alemayehu died in 1879 at the age of 18 after contracting Pleurisy and was buried at windsor castle ,far a way from his continent Africa where he longed to go back.
In Eulogising him Queen Victoria mentioned him in her diary, saying ,what a good and kind boy he had been and how sad it was that he should die so far from his family. She also mentioned how very unhappy the prince had been, and how conscious he was of people staring at him because of his colour.
There is an ongoing campaign to have prince Alemayehu's remains exhumed and be repatriated back to his homeland Ethiopia.
134496422_207330634316560_2817976534856369222_n.jpg
134726938_207330664316557_596235190219751039_n.jpg
134150707_207330650983225_8844209646049569926_n.jpg
 
Kasaman

Elder Lister
Huu mwaka wa 2020 haujakua mzuri. Uchumi mbaya, pesa hamna vifo vingi vya korona mara ajali mara uhalifu gasia mingi zishafanyanyika lakini hayo yoote ni mapito tu cha muhimu maana tuzidi kumwamini Mungu atujalie fanaka Tele. Mimi nawatakia kila la heri tuombe Mola mwaka kesho uwe mwaka mzuri tusianze kusema ati oooh hata afadhali 2020 hapana cha muhimu tuzidi kumwamini Mungu atuondolee hii balaa na tuzidi kusonga mbele. Nawatakia Mwaka mpya wa baraka sufufu wenye mafanikio na furaha na mjue kuna kafyu usifungue mwaka na viboko au kulala jela. Fungua mwaka ukiwa nyumbani kwa raha zako shukran
View attachment 27795
jitayarisheni for vaccine
Hii vaccine tayari imesauzwa na makatel
 
Top