Kuda cores
Elder Lister
Hehe matatu za single line services.... Kuna time kanjo walikua wana zitumia kuokota watu wenye hawajalipa licence CBD.....Route ya south b hizi nganya hazina soko watu hupanda zile mzee wanaitwa kunguni juu ya discipline.
Lakini hizo gari zinakaa Jela.
Chuma mpaka kwa dirisha. Lakini hiyo contract iliisha.... Naona siku hizi zinabeba mpaka cabanas