They are correct on this , they compete eating greens leave with elephants !
Unaandika Bolice signal?NA UKIPANDA MTI BUFFALO INAKOJOLEA MKIA INAKUSHIA MKOJO UNAJIKUNA UNAANGUKA MUHAU INAKUMALIZA!
Karibu upige salute afande?Unaandika Bolice signal?
Kuna watu wawili kwa hii list ambao hawana meno ya kusiaga jaba....
Wacha hiyo. Ukitembea kwa bush unapatana na nyoka unasimama statue kama umeshika wrist yako ya left na mkono wa right kama unachukua pulse. Nyoka inachanganyikiyo inarudi home kwao bila kuku-bite.............Majamaa chui ikikuona Kwa msitu, inaweka mkia Kwa njia uikanyage ikuuwe, ukiruka mkia inaenda mbele inaweka tena. Usipoikanyaga unaponea