stori za jaba, spot ivory coast

Field Marshal

Elder Lister
Majamaa chui ikikuona Kwa msitu, inaweka mkia Kwa njia uikanyage ikuuwe, ukiruka mkia inaenda mbele inaweka tena. Usipoikanyaga unaponea
Wacha hiyo. Ukitembea kwa bush unapatana na nyoka unasimama statue kama umeshika wrist yako ya left na mkono wa right kama unachukua pulse. Nyoka inachanganyikiyo inarudi home kwao bila kuku-bite.............

(some truth in this though)
 
Top