Stage Ya Baiskeli

Mishale

Elder Lister
Please reread the original post nanii...ama ni vile nilichora stage ya baiskeli uksona tu Green Park... 😁 😁
🤣🤣🤣

nasema ikue atleast na secluded area per bike, otherwise mtu atakua anakuja na gunia ana inama akijifanya ni yake anafix kumbe ana iba ingine.
by the time CCTV video na picha ziko circulated, mtu alisha potea kabsaa
 
Top