siku nilivurugana na mzae

Pseudonyms

Elder Lister
The ongoing/subsequent insubordination by your mother evident through not supporting your father when he wanted you to account for your misdeeds, the "wanauana!" like she regarded you as equals, kukurudisha shule without your father's input, etc. That insubordination has rubbed off her onto you.
 

Kasaman

Elder Lister
Hii story ilihappen nikiwanga high school nikiwa form 4

kuna day nikiwa chuo wasee walichujwa fee waende mtaani. sasa ikabaki ni ati chuo ilikuwa almost empty manze. sisi wengine ni wale wenye ilikuwa imelipwa yote. kwanza mimi mzae alikuwa akilipa fee yote kwa mpigo mmoja. at that time tulikuwa tunastay na mzae before hajafall out na mathe (story of another day). sasa kufika next day nikasneak chuo nikaenda kuchill na wasee flani. nilisneaking thursday juu wasee walichujwa wednesday (which ilikuwa weird juu siku mob wasee walikuanga wanachujwa friday ikienda wikendi). alafu kesho kutwa (sato) ilikuanga visiting day.

iyo siku nilichill na wasee walikuwa wamechujwa (wale walikuwa wakiishi some distance away na chuo). siku ikaisha poa. nikarudi chuo bila ngori weekday ilikuanga ngumu sana wachukue roll call juu wasee wengi hawakuwa wanahepa weekday walikuanga wanahepa weekends. kesho yake friday pia nikafuata the same routine. nikasneak nikaenda kuchill na hao wasee kupiga story chuo ilikuwa inaboo walai. kufika jioni nikarudi chuo vizuri. kufika chuo ilikuwa tu fiti. nikaulizia kama roll call ilichukuliwa nikaambiwa haikuchukuliwa nikajua niko safe.

kesho yake ilikuwa sato siku ya visiting which hata sikuwa enthusiastic about coz mzae hakuwa anakam na any isipokuwa gazeti na chupa ya maji. mimi nilienda kutafutwa juu haikuwa interesting si vile ilikuwa tukiwa form one unangoja paro kwa gate ya chuo. mzae alikuwa amekam masaa yake kitu ka 3 hapo juu alikuwa ametravel kutoka nairobi. nikatafutwa na msee nikapatikana nikaenda kupatana na yeye. tukaanza kuchapiana na yeye. kiasi nikacheki mode flani alikuwa anaitwa mr. mwiti tulikuwa tumem nick name CIA juu venye alikuwa anainvestigate story za wasee noma sana alikuwa anakam place tuko. akanigotea na akagotea mzae (yaani salamu) alafu akadai tumfuate mi na mzae kwa ofisi ya depa. tukamfuata hata sikuwa suspicious kuhusu kitu yoyote. tukiwa kwa ofisi ya depa hapo ndo nilijua nilikuwa kwa shiet ingine noma sana. hapo CIA manze alisema vile alinicheki place flani jana yake na wasee wenye hawakuwa wamelipa fee. aliniseti tu vizuri kwa depa mpaka nikashindwa kukataa si mimi. aliongeza chumvi akidai mbona nachill na wasee hawajalipa fee yet mimi nimelipa fee mzima.

mzae aliniuliza kama ni ukweli, nilikuwa najaribu kukataa lakini nikaona hapa ni vita inaningoja tu. ikabaki nimekubali tu na ivo ndo nilichongewa suspension manze. nikaandikiwa lei ya sus ya wiki mbili after which nilikuwa nafaa nirudi na barbed wire. na ivo ndo nilijipata nimerudi dorm nikifuatwa na msee wa store nikabeba matress na box nikazipeleka store na nikapanga bag nikajitoa na mzae. safari ya kutoka meru hadi nairobi ilikuwa refu sana. safari ya 4 hours ilikaa ni kama safari ya 10 hours bana. mzae alikuwa amenyamaza tu. kufika nai ilikuwa kitu kama 9 ya usiku kupanda mat ya mtaani ilikuwa kitu kama 10. kufika hivi tu mtaani lecture ilifuate manze ilikuwa noma. nilipigwa lecture ya kitu 2 hours. ikabaki nimeenda kudoze after hapo.

sasa noma ni ati nilianza kutreatiwa kama mfungwa. hakuna kutoka nje kuamka ni ngware 5 na kurudi mtaani wikendi ilikuwa 7. sasa kitu iliharibia ni ati after wiki mbili za sus kuisha wiki next likuwa midterm which technically ilikuwa treated ni kama part of suspension. sasa mimi nilikuwa naamka najifanya nasoma mathe na mzae wakienda job narudi kulala alafu nawatch tv baadaye hadi kitu 4 ndo wakirudi wanipate nikisoma. siku zingine nilikuwa naskiza ngoma tu. routine ilikuwa ivo ivo. sasa kuna sato moja nilirudi mtaani 9 instead ya 7. mzae akaniuliza nimetoka wapi mimi nilinyamaza akaniuliza tena nikanyamaza. nikaskia amenishow ati mahali niko niende chini upuzi hakuna kitu ka hiyo mimi ningefanya. mimi nilimshow siendi na siendi afanye kenye atafanya. nikaskia amesema kijana ntakuua. nikasema si akuje ujaribu tuone. hapo alijam mbaya na mimi na ufala yangu nikangoja ati akam mahali niko makosa.

mimi urefu yangu inakuanga 6'4 mzae wangu ni an inch taller kuniliko yeye ako 6'5. niliskia tu mkono imenishika shati before hata niongee bare ilikuwa ishashuka paah hadi nikachanganyikiwa. kiasi chake mzae akakuwa physical manze. akarusha videvu mbili za haraka nzito nzito hadi nikaona ni kama nadedi. mathe naye akaanza kupiga nduru 'waai waai anamuua uuui uuui wanauana'. hakuna venye ningechapwa hivo na nitulie tu. mimi in self defense nikarusha pia kidevu ndo mzae akaniachilia. kuniachilia nikatoka teke nikaishia kuchill kwa boys flani neighbor saa hio wasee walikuwa wameanza kucrome nje ya keja yetu kutaka kujua nini mbaya. wasee walifungua gate wakaingia ndani kutaka kujua ngori gani hii. walipata mzae akiwa na dame kwa shati alikuwa amevaa. kumbe ile kidevu nilirusha ilipata mzae kwa pua akaanza kubleed. mimi sijui walimalizana aje kesho yake niliishia kwa aunty yangu flani hawajaielewana na mzae nikamchocha niliona hio midterm niende nimtembelee. nilitulia huko hadi middy ikaisha nikarudi home siku mzae hakuwa nikapanga stuff zangu nikavaa uniform tukaenda na mathe chuo. kufika meru town mathe alibuy barbed wire nikarudi chuo tukamalizana na admin nikapewa punishment story ikaisha.

kurudi mtaani after kcse nikapata mzae hayuko iyo ni after alitokana na mathe. Hekaya ya siku ingine!
laana tupu ! you must seek forgiveness to both parents .
 

Giggz

Elder Lister
The ongoing/subsequent insubordination by your mother evident through not supporting your father when he wanted you to account for your misdeeds, the "wanauana!" like she regarded you as equals, kukurudisha shule without your father's input, etc. That insubordination has rubbed off her onto you.
Your mother is the problem in your relationship. She sowed insubordination and disrespect in you. She should have demanded an apology and penance before going back to school. Look for your "God" (father) and make ammends. Their relationship with your mum should not come in your way. Ignore that aspect of their disagreement.
Just curious, did you ever ask your mother or her close friends why they parted ?
 
A father is a representation of God in a family. Thats why he created Adam first but not Eve. Also he represents authority and the leadership. Hope your father is still alive. If so, please get him and apologize. Otherwise this curse will run through your generation. Also seek forgiveness from elders
 
Top