She Is Stoking The Fires...

shocks

Elder Lister
Maybe Mutua amekataa na mali, akasema nitakuabisha, shida kijana anatumika.
Was once at a watering hole, milf fulani ika jipa, hadi kakaninunulia round, nikajua leo ni ile siku nita sausage fungwa. Kidogo naskia kamzae kanazusha akini point, anauliza dame mbona madharau, mbona ameleta kijana mdogo kwa bar yeye hunywa. Akili ikarudi, nikachomoka nikawacha beer kwa meza
 
The.Black.Templar

Elder Lister
Staff member
Mutua should have just maintained the same good relationship he wants with Lillian with his first wife badala ya madharau mob
 
LeoK

Elder Lister
Maybe Mutua amekataa na mali, akasema nitakuabisha, shida kijana anatumika.
Was once at a watering hole, milf fulani ika jipa, hadi kakaninunulia round, nikajua leo ni ile siku nita sausage fungwa. Kidogo naskia kamzae kanazusha akini point, anauliza dame mbona madharau, mbona ameleta kijana mdogo kwa bar yeye hunywa. Akili ikarudi, nikachomoka nikawacha beer kwa meza
Hapo umejiangusha. Bar is a public place. If it was his house maybe.
 
Top