Per Diem - ATM Edishen

zapp_brannigan

I am not a Futurama fan .
The year is 2006 ,and I only had a very basic phone so team evidence or it never happened take note .Pale kazini we used to refurbish computers and then they would be sold to schools in Kenya at a small fee of 10000 per set .Office and workshop ilikuwa pale Semco Industrial Park ,Mombasa road . We would then offer routine maintenance to the school who would procure the sets .Initially I was stationed in the workshop throughout but tamaa ya per diem ika niingia .So one day mimi huyo na driver who used to also double as a technician tukakuwa assigned to service computers kwa shule tatu for the day .The schools were in Machakos but ni some remote areas . The trip to the schools was fantastic with a stop pale T Tot Machakos .Then armed with dust blower , some detergents and some CDs containing AVG and current updates .Tukachangamkia kazi and were done by 5:30pm .Return journey was all fine until tukafika pale junction ya kwenda Kitengela ukiwa Mombasa road .Enzi hizo the road used to pass nyuma ya Mombasa cement factory ( and there was no dual carriage) .Traffic ilikuwa imeshika from Athi River inbound so we had already wasted so much time from Athi River to Kitengela junction .Driver akaniambia anajua a route itatikea Mlolongo tukipitia Sabaki .We drove for almost a kilometre huko ndani and it was raining until tukafika point tukakwama . Kama kawaida passenger ndio huskuma if such happens . Nikashuka and tried I could but my shoes were letting me down slipping to a point that instead of pushing the pickup I was regaining my balance kwa kuishikilia . Ikabidi nitoe viatu at least my toes would dig into the mud and give me the much needed grip .Kama kawaida gari ikikataa to move mbele you try reverse .Trouser saa hizo nimekunja mpaka juu ya magoti . The wheel spin would throw mud kwa ''mithimo" and face but that gave me motisha to push harder .We later decided to find out back to the traffic and exercise patience .Tuka rudi and by then traffic was moving .It's was now some minutes to mid night . Back then nilikuwa naishi almost 200 metres from Kobil / Igloos on your way to AA offices .Kufika driver hangeweza kuingia kwa hizo chochoro .Ikabidi nishuke viatu mkono and due to the warm AC kwa pickup the mud that was on my hairy legs was drying out .Earlier nilikuwa nimejaribu kupigia caretaker na alikuwa mteja ,the same with the single room neighbor .Nikachocha nitaenda ku knock gate na wakikosa nipitie juu ya gate .The driver had already left ilikuwa mimi na giza .After knocking a couple of times I gave up and nikaona kuruka gate might be riskier than I had thought .Ikabidi ni walk bado all the way to hapo Kobil and my only saviour was the Equity ATM . Nilipata guard wa G4S and after explaining what had happened akaniambia niingie kwa hapo kwa ATM "lobby" and have a rest .I "tried" to rest mpaka 5am na sababu ya kuniokolea I gave the Guard Ksh 200 and took another walk mpaka kwa ploti .Luckily kuna watu walikuwa wana toka at that time so I found the gate open . Maji kwa stove and kazi ikaanza ya ku soak the cotton soil mud until ikuwe less painful to scrap off . Mwangaza ikaingia went out bought some mandazi and made some tea and Kama kawaida nikaenda Cabanas stage and took a matatu to Semco at Ksh 10 .
That day nilisema si feel poa so that nisitumwe trip ingine ya maintenance .I never told anyone what happened until many months later .
 
shocks

Elder Lister
hehehehe, caretakers huwa na wana ya kuzima simu masaa ya kazi ikiisha, hataki kupigiwa simu itamtoa kwa kitanda ati story ya airlock, sijui tv na fridge hazifanyi yet bulb inawakaa dim......
Nikiishi kimilili nikikaa kwa zile nyumba huwa nyuma ya duka, landlord doubled up as care taker and owner of the shop by the entrance door. ukifika late after mlango imefungwa alikuwa anakuambia live hafunguwi, saa hizo amechill hapo kwa duka na the daughters ,coz duka ilikuwa their living room wakifunga jioni.
 
Last edited:

bigDog

Elder Lister
The year is 2006 ,and I only had a very basic phone so team evidence or it never happened take note .Pale kazini we used to refurbish computers and then they would be sold to schools in Kenya at a small fee of 10000 per set .Office and workshop ilikuwa pale Semco Industrial Park ,Mombasa road . We would then offer routine maintenance to the school who would procure the sets .Initially I was stationed in the workshop throughout but tamaa ya per diem ika niingia .So one day mimi huyo na driver who used to also double as a technician tukakuwa assigned to service computers kwa shule tatu for the day .The schools were in Machakos but ni some remote areas . The trip to the schools was fantastic with a stop pale T Tot Machakos .Then armed with dust blower , some detergents and some CDs containing AVG and current updates .Tukachangamkia kazi and were done by 5:30pm .Return journey was all fine until tukafika pale junction ya kwenda Kitengela ukiwa Mombasa road .Enzi hizo the road used to pass nyuma ya Mombasa cement factory ( and there was no dual carriage) .Traffic ilikuwa imeshika from Athi River inbound so we had already wasted so much time from Athi River to Kitengela junction .Driver akaniambia anajua a route itatikea Mlolongo tukipitia Sabaki .We drove for almost a kilometre huko ndani and it was raining until tukafika point tukakwama . Kama kawaida passenger ndio huskuma if such happens . Nikashuka and tried I could but my shoes were letting me down slipping to a point that instead of pushing the pickup I was regaining my balance kwa kuishikilia . Ikabidi nitoe viatu at least my toes would dig into the mud and give me the much needed grip .Kama kawaida gari ikikataa to move mbele you try reverse .Trouser saa hizo nimekunja mpaka juu ya magoti . The wheel spin would throw mud kwa ''mithimo" and face but that gave me motisha to push harder .We later decided to find out back to the traffic and exercise patience .Tuka rudi and by then traffic was moving .It's was now some minutes to mid night . Back then nilikuwa naishi almost 200 metres from Kobil / Igloos on your way to AA offices .Kufika driver hangeweza kuingia kwa hizo chochoro .Ikabidi nishuke viatu mkono and due to the warm AC kwa pickup the mud that was on my hairy legs was drying out .Earlier nilikuwa nimejaribu kupigia caretaker na alikuwa mteja ,the same with the single room neighbor .Nikachocha nitaenda ku knock gate na wakikosa nipitie juu ya gate .The driver had already left ilikuwa mimi na giza .After knocking a couple of times I gave up and nikaona kuruka gate might be riskier than I had thought .Ikabidi ni walk bado all the way to hapo Kobil and my only saviour was the Equity ATM . Nilipata guard wa G4S and after explaining what had happened akaniambia niingie kwa hapo kwa ATM "lobby" and have a rest .I "tried" to rest mpaka 5am na sababu ya kuniokolea I gave the Guard Ksh 200 and took another walk mpaka kwa ploti .Luckily kuna watu walikuwa wana toka at that time so I found the gate open . Maji kwa stove and kazi ikaanza ya ku soak the cotton soil mud until ikuwe less painful to scrap off . Mwangaza ikaingia went out bought some mandazi and made some tea and Kama kawaida nikaenda Cabanas stage and took a matatu to Semco at Ksh 10 .
That day nilisema si feel poa so that nisitumwe trip ingine ya maintenance .I never told anyone what happened until many months later .
Moto sana. Hiyo ni kulala nje kabisa.
 
Alafu minus expenses za siku unabaki na 400 . Issa throw
But i am grateful nilikuwa naweza kulipa rent and naskumia mzazi kitu.Hiyo Embakasi kuna story of my life mingi sana . From kuishi 7th floor pale plot ten to living in kwa ground floor room that was darker than a cave.
Hahaha! Mimi pia hiyo area nimekaa sana. Hapo nyuma ya Container pub. From 07 to 16. Hekaya ni mob sana. One thing I liked about that place ni security. Hata kama ni saa tisa usiku unaingia home safe
 
Duke of Busia

Elder Lister
Hapo kobil pia mimi nime lipa tu rent miezi kadhaa hapo kwa iyo street ya penda Niko na hekaya countless

1. Kuamua kukua romantic, nika jipeleka rooftop kuanua nguo coz mubibi alikua amejam alafu niki rudi instead ya kuingia kwangu naingia kwa tu slayqweens na waka ni invite mzinga .....long story short mubibi aligwaraa tusichana vibaya sana.

2. Kulala kwa balcony coz nlisahau key kwa flight case nikiwa event...

3. Kupigana na watchman ya hiyo mall hapo kobil coz the inebriated lady I was with alinyora kwa iyo njia ya public toilet

4. kuanguka kwa iyo mtaro usiku na siko mlevi...Nlikua najificha slayqween flani I had already lied to her that Niko Naks ...mtaro na nduru za wa mama zili ni peana

Coming soon
 
Last edited:
Top