PAMBA NI SAWA TU. ISORAIT

Ssabasajja

Elder Lister
So today I decided to go for our monthly pusaa pale soweto lakini vile @Pamba 1 alikua in a di area with friends Ata sikuonja kitu, I mean kulikua na raid ya 3 hrs.

Alafu @Meria ulipata Ile signal ya kina Pamba yenye @Pamba 1 alinyanganywa mrondo pale umoja na vijana Hawa wa mbongi genje.

GSU wamesumbua mimi Ata Sai niko indoors
Soweto ni kama nchi kivyake, it has so many busaa drinkers.
 
Top