Of a Human(Kuchanganya oil na maji)

Kender9

Elder Lister
A certain fren has been complaining of fatigue, nausea and joints pain, so nikamwambia twende tukunywe supu muteta, iwekwe ngori, a few minutes later anajiskia ako flatulent, kujaribu kutoa gas, maneno ikaharibika. Mwanaume amestukia amechanganya oil na maji, imebidi anunue Afwong'o mpya. Sijui ni hii flu ama kunaendaje. QR to all who are ailing.
 
Top