Nikubaya, Tulaumu nani

mZENDE

Elder Lister
Taking place pale keja. 17:48 - 17:55 GMT

Manzee.. Jontez, kuna wasee wanaharibia jina hii stuff. ishhh..katwaf twaf
Saaa cheki huu msee (babi). Hajui kusanif au ule peddy pale carwash DOD anamsukumianga magush na hanyiti.
Aaaah hata hanyitangi any vile kunaenda.

Matha:
(kwa sauti ndogo nyororo ya wamatha)Obiero, ni nini inanuka hapo kwenu, unachoma nini?
Obi: Mathe Ni takataka imekua mingi nachoma.
Matha: Na uliona vizuri kuwasha moto ndani ya nyumba?
Jontez: Mazee, Obi hapo si umetuangusha kama .......
 
Tano tena 😂😂😂 this is the worse presidency in kenya....na mimi husema watu waache ukabila....me i can vote in any tribe....nionyeshe you can perform. I would vote for Miguna miguna quick
 
Top