Night creatures

Duke of Busia

Elder Lister
Sisi hapa Leo Pia sisi Ni wanywaji. Kwa decks kuna DJ flani wa ghetto radio wacha tusiseme majina kwanza lakini sisi wote tuna ngoja Chris Martin na DMajor
IMG_20191204_233338_8.jpg
 

Duke of Busia

Elder Lister
Uku ratio ya kunguru to kevo plus brayo ni 4:1 so that means wallet wachana nayo, Lipa na Mpesa ukilewa sahau pin.
 
Top