Night appetite dose

Can I post episode 2?

  • YES

    Votes: 2 50.0%
  • No

    Votes: 2 50.0%

  • Total voters
    4

Asher

New Lister
TIME NILIKUA HOUSEGIRL Eps1
Mimi kuna venye sikuwai shikanisha kitu pale highschool, kwanza Mao bt nsawa tu.Nilivumilia hadi nkamaliza bt results za KCSE
kutoka, nko na C mina enyewe I tried cz nlikua natarget E.Two weeks later, 1D yangu ikatoka, neighbour wangu akaniuliza kama
naweza taka kwenda nai niwe housegirl wa Siz yake,nani akatae, akanisho nkue prepared ntaenda the following day.Sasa kilichonishtua
nkua, sikua na manguo poa za kutravel, so niliamua kuuza kuku tatu za Mathee c .Nilipata mia tisa,nkajua hapa nkung'ara ninuke
wasichana wa nairobi juu nlikua nanuka mchanga kwa venye nlizoea kulima.Siku ilifika, fare ikatumwa, kilichobakia ni mimi kuishia.
Kumbuka sijui nairobi, nmeishi bomet miaka yoote lakini nilipewa no.ya huyo madam na kwambiwa nkifika Tearoom nimcall, yaani nitumie
simu ya jamii.Nilianza safari mapema cz nlijua lazma nkue na 5hours extra za kupotea nairobi Bt mungu ni mwema sikupotea saana,
nliuliza mtu wa nduthi nakunipeleka had Tea room, nkacall yule madam akanikamia, Durrr hadi umoja.Kufika, bwanake alikua kwa sofa
akiwatch news, nkamsalimia, nkakaribishwa vizuri .Niliambiwa kazi yenye ntakua nkifanya, dn nayo mshahara ilikua ni ile tu thao NNE
For abt 2month, bwanake yule madam alisema ataniongezea mshahara juu nafanya kazi vizuri, wuueh, madam alikataa katakata.Bt
sikuwai jua kuwa huyo mzee alikua akinitaka chini maji, on the other hand, madam alikua akichunguza nisije nkapendua sirikali
Siku moja bibi yake akiwa job, yule bwanake alitoka bafu.Alikua amevalia short pekee, kifua wuueh ni kama ile ya jackchan.Mimi nlikua
bedroom yao nkiosha bt hakua anajua nko ndani After kuingia, nlishtuka saana juu sikua nkitarajia atanikuta kwa bedroom yao Alinisho
niendelee na kazi huku akitafuta nguo avae.Kidogo kidogo, mtoi wake akaingia hiyo bedroom(class7 girl) akatupata, akasema "khaii
ntakuja kuambia mum mlifanya tabia mbaya"a Madam kufika, mtoi "mum..wait ..
 
Top