New game in town

JazzMan

Elder Lister

Karibu sna katika kijiji hili. Cha muhimu ni lazima tukufanyie ubatizo katika dini ya Kenyanlist. Tukianza, tumekutengenezea baby shower. Kwa moyo mkunjufu, naoma ufate wenzio haraka upesi. Hata usifikirie sana, ingia tu...

1275px-Cattle_tick_treatment.jpg



Ukishatoka, jitingize kama vile mbwa anavyofanya ndio ukauke. Kisha, tuna mafuta takatifu unayohitaji kujikinga dhidi ya mapepo na ibilisi mwenyewe. Jipake kile mahali kuanzia nyuma ya masikio hadi kati kati ya kinyambis na vidole vya mguu. Usimwachie shetwani nafasi atakayo tumia kukudhulum! Mafuta hiyo...

TRIATIX-A.png
 
Top