QuadroK4000
Elder Lister
Hehe jaribu kuweka mbuzi nne kwa boot ya XT uone kama utafika Embu... Labda utumie hizo Radio zenu za Huawei.Nilikua na safari was to use the embu siakago way Hadi embu na hizo shughuli nilikua nazo hazingenikubali nilee mbuzi for the few days. Lakini I took his number nikiwa hizo area I give him a call. But najua hizi deal hua za kuiva same day ukirudi Tena siku ingine Bei tofauti.