Late 90s, pujo mbickuff ask for transport hapo Githurai roundabout, one sato morning two guys approach me kuna ngombe yao iko Gatundu tuilete kasa, ile bei niliwambia hawakuburgain, the money was so good hadi ni kaita jamaa mwingine aende hio job mimi nikaingia Blue Congo bar and lodging.
Long story short hio gari sikuiona tena. (Machos)
My guy was taken to Gatundu just after Muigai inn, wakapata ngombe kwa rdside wakaanza kupakia, wakiifunga poa ndio waliskia nduru, a lady in a farm raised alarm ngombe yake inaibiwa, in a second jamaa wa kuhire pickup wakahepa deree akabaki peke yake, ile vita alipewa na raia acha tu, pamba ndio alimsave from lynching but the mbickuff went up in flames.
Hao jamaa walikua wamehire gari sijawai waona.
Machos bado hububujika nikikumbuka hio KAC
End of hekaya.