Naivasha Girls disposing their livestock

R_Silver

Elder Lister
1000 bids = 1m clean + profit from sale.
Wanajifanya wajanja.
Notice also that last sentence about reserving the right to reject any tender.. who will follow up if they reject 95% of them and only sell a handful of their animals?

Huu mchezo huwa sana sana kwa those small NGOs; you pay 3-5k for the tender documents alafu hamtaskia nani alishinda tender.
 
Meria

Chief Lister
Staff member
Nilikua the areas around Kanyonyoo, Kikumini na Masinga huko Ukambani a few days back nilikua nauziwa mbuzi 3500 na mzee fulani alikua anazilisha kando ya barabara.
My fren unaweza chunishwa kama mwisi juu ya hizi livestock za kando ya rdside.
Deal chapia inside his compound to confirm if indeed he is the owner na pia wife yake awe area.
Lost a pickup once kwa mchezo kaa huu
 
Last edited:

Ice_Cube

Chief Lister
My fren tunaweza Chinese kama mwisi juu ya hizi livestock za kando ya rdside.

kali.. basi niliponea sana one time huko Kisamis bought a goat by the road side from a Maasai na tukarudi salama. But its true, he may just be a herdsman then he comes up with a cock and bull story in the evening to fool the owner
 
Afro

Elder Lister
My fren tunaweza Chinese kama mwisi juu ya hizi livestock za kando ya rdside.
Deal chapia inside his compound to confirm if indeed he is the owner na pia wife yake awe area.
Lost a pickup once kwa mchezo kaa huu
Please Leta hekaya in full.
 
Eng'iti

Hebu tuskie
 
Meria

Chief Lister
Staff member
Please Leta hekaya in full.
Late 90s, pujo mbickuff ask for transport hapo Githurai roundabout, one sato morning two guys approach me kuna ngombe yao iko Gatundu tuilete kasa, ile bei niliwambia hawakuburgain, the money was so good hadi ni kaita jamaa mwingine aende hio job mimi nikaingia Blue Congo bar and lodging.
Long story short hio gari sikuiona tena. (Machos)
My guy was taken to Gatundu just after Muigai inn, wakapata ngombe kwa rdside wakaanza kupakia, wakiifunga poa ndio waliskia nduru, a lady in a farm raised alarm ngombe yake inaibiwa, in a second jamaa wa kuhire pickup wakahepa deree akabaki peke yake, ile vita alipewa na raia acha tu, pamba ndio alimsave from lynching but the mbickuff went up in flames.
Hao jamaa walikua wamehire gari sijawai waona.
Machos bado hububujika nikikumbuka hio KAC
End of hekaya.
 
Last edited:

Ice_Cube

Chief Lister
My fren tunaweza Chinese kama mwisi juu ya hizi livestock za kando ya rdside.
Deal chapia inside his compound to confirm if indeed he is the owner na pia wife yake awe area.
Lost a pickup once kwa mchezo kaa huu
BTW Melia leta hekaya huwezi tulambisha na kuingia Boni forest hivyo..
 
Afro

Elder Lister
Late 90s, pujo mbickuff ask for transport hapo Githurai roundabout, one sato morning two guys approach me kuna ngombe yao iko Gatundu tuilete kasa, ile bei niliwambia hawakuburgain, the money was so good hadi ni kaita jamaa mwingine aende hio job mimi nikaingia Blue Congo bar and lodging.
Long story short hio gari sikuiona tena. (Machos)
My guy was taken to Gatundu just after Muigai inn, wakapata ngombe kwa rdside wakaanza kupakia, wakiifunga poa ndio waliskia nduru, a lady in a farm raised alarm ngombe yake inaibiwa, in a second jamaa wa kuhire pickup wakahepa deree akabaki peke yake, ile vita alipewa na raia acha tu, pamba ndio alimsave from lynching but the mbickuff went up in flames.
Hao jamaa walikua wamehire gari sijawai waona.
Machos bado hububujika nikikumbuka hio KAC
End of hekaya.
I've heard similar stories za gari kuchomwa na mob. Kwanza za míraa, I hope the drivers get to live.
 
Top