Mutheu 2 Pamba 0

Meria

Elder Lister
Staff member
Location - Emali

Time - 5:30am

Msedes idling softly as i wait for airbrakes to fill up meanwhile am circling it inspecting all the tires and fuel tank nione kama @vuja de ameniactia usiku, the empty container that i had loaded at ICD is also well secured and i curse all brokers, mkijua bei ya kuteremsha empty container mtaombea truckers wote, mochos tu, on the list of wale watu hawataingia heaven that has makanikas and police ongezeni brokers. after a short while Msedes sneezes najua iko tiyari. before i climb on board i call Mutheu akiwa Mombasani nimwambie niko jiani.

Hello babe, i start, she answers in a sleepy voice najua bado hajaamka. Small talk akiniambia nisisahau kumletea kitunguu na tomato za Emali, before i cut te call she says alafu Honey in a voice that indicates she is now fully awake, an alarm bell rings in my head, whenever am called asali hua it doesnt end up well for me. Leo ni chama na niko 10k less she continues, siunisave woiyee. hehe, i knew it. si babe i gave you 5k last month, i retort. Haki sweetie mimi ndie nakula next month nita kurefund she replies, i know this is a white lie but i say okay babes nitakutumia.

Before i hangup for the second time she say, Sweetheart, this term makes my heart skip a beat coz najua what will follow wont be good, Mutheu always saves the worst for last. chamaa leo iko Mazeras, ehe, i say, what about it? i ask. Can i use the Succeed Newshape with keyless ignition please she begs, i laugh out aloud and say no no no. Babes unataka kutotal gari yangu vile uli writeoff Vitz yako, hio gari yangu usiguze, i state firmly. But Mutheu ni nani, sweetie Mazeras ni mbali sana kuenda na mat will be hectic alafu nabeba wamama wa chama na wata fuel gari, she pleads. i know this is a losing battle and let her plead for a few more minutes and finally say okay hon, you can take it, just drive carefully i tell her as i ease msedes from parking, i blow a kiss on the phone as i sign off by telling her i will be home for dinner. Phew, this Mutheu is another one. I love her to death.

At Makindu Mutheu calls again kunijulisha ndio anatoka i remind her achunge Succeed Newshape with sunroof kama mtoto wake, she informs me she is picking @Deep Sea and @Female Perspective along the road ndio wanaenda nao nami nikauliza hao ni kina nani, siwamama wa chama, akajibu, alafu i remind her ukiwa kwa barabara achana na simu, concentrate on driving please alafu nikamkata.

Kabla kufika Voi simu ya Mutheu hii tena, Babes kibarani jam imeshika kushika tumekwama, hio ni mambo ya road vumilia i tell her as i hang up. Half an hour later she calls, Babes i missed the exit nimepotea njia nimejipata airport, i thought am in southern bypass hebu niambie vile nitaipata, namuita ngoma wewe as i stop msedes and calmly give her directions, she has to go back all the way to Changamwe. Hardly 5 minutes later simu ingine, babes saa hii niko kwa gate ya port, jesu mwathani!, huyu Mutheu nitamfanya nini sasa, nafyatuka namwambia uliza hao security njia wataku guide, didnt blame her though, the new roads are confusing.

Finally after around an hr she calls to inform me walifika nitume ile pesa nilipromise, damn! had forgotten all about it. Half the money i had been paid for empty container inaenda hivo tu na ata sijakunywa tusker baridi ata moja. time is now 3pm niko Maungu nasaidia trucker mwenza na comp yake. inatusumbua kidogo but friend gugu anasaidia and the trucker anarudi barabarani, mimi naye nafinya msedes kaa subaru, ikiwa na empty container shuttles na buses naziovertake kaa zimesimama, sida tu ni numerous roadblocks za @Pamba pale lazima ulipe toll ya 50 bob, kwanza kuna kingine Talu kinono na hakinaga aibu kusimama katikati ya road flagging down PSVs and msedes, he should be in ocha minding his grand kids.

5pm niko weigh bridge Mutheu calls again, Babe ndio tunatoka tumemaliza, okay sawa i say, niko mariakani hapa tu naja. 5:30 niko mazeras downhill ndio napata jam, a trucker going up informs me kuna msedes imeangusha container Bonje blackspot, as if on cue simu ya Mutheu inaingia, haki babe ile jam iko hapa Changamwe pipeline kwa diversion, hatujasonga an inch in 10 minutes. for those who have not been to 001 lately mjue sasa changamwe roundabout is no more, mchinku is building an overpass and an underpass, with all the construction traffic there is a mess.

As we are having small sweet talk on phone she suddenly screams and says, ATI UNASEMA NINI? IMEWAKA YOTE? MTOTO AKO WAPI? and gives another ear piercing scream.

TBC
Capture.PNG
 
Top