Hio nyama kidogo Sana kama ya kutega mole.
ni njaanuary, habari ni kujinyima kidogo sio kabisaHio nyama kidogo Sana kama ya kutega mole.
Anywho, bon voyage
Bon voyage tena? Unaambia ugali bon voyage? Maajabu....Hio nyama kidogo Sana kama ya kutega mole.
Anywho, bon voyage
Ngima clan.Bon voyage tena? Unaambia ugali bon voyage? Maajabu....
Hapo umewai katumbukizaaa na ka firifiri
Incomplete iko wapi ofokadohMashakuraView attachment 28857
na chafashiIncomplete iko wapi ofokadoh
Minji na Mahindi zimesimama nikama zilichemshwa na maji baridiMashakuraView attachment 28857
Chakula ya January hii.MashakuraView attachment 28857
Unakula pekeyako
Unaona ata butchery yenyewe haina watuUnakula pekeyako
ukinywongwa na nyama, nani atakusaidia ? Even pamagranite fruit I must share with somebody