Msedes lazima mutasimama

MkukiMoto

Elder Lister
Wakora wali haribu kikopey siku hizi huwa sisimami hapo kula kachoma. Choma ingine mzuri iko hapo maragwa kwa makuti club nimesahau jina shida hawajui kupika ugali.
Even in Nairobi I check first kama mtu wa kupika ugali ni Mlunje ama Jaruo in a Choma Zone.
Hakuna kitu mbaya kama choma safi halafu una pewa ugali mbichi
 
Top